Foreign MusicTanzanian MusicZambian Music 2024

Diamond Platnumz – Yatapita

Diamond Platnumz – Yatapita Mp3 Download

Yatapita” is a new song by the Tanzanian and East African recording artist,Nasibu Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz. It was recorded and released in 2023 and has started making a huge trend in Tanzania and across the country. “Yatapita” was released through Ziiki Media and was produced by Lizer Classic.

Since ilovezedmusic.com is well known as a home of music and entertainment updates, It will be a nice choice for you to bookmark this website and use the search button to look for any music of your choice ( in the case of old songs which you could not find, don’t worry just notify us via the comment section we will update it ASAP) and don’t forget to let us know how you feel after each download.

Download Now

 

 

Yatapita / Lyrics Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mawigi na simu (Vyote) Ntakuzawadia (Vyote) Pochi zenye thamani (Vyote) Nawe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote) Na vioo ukiwafungia (Vyote) Aloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho Amini fungu letu laja haliko mbali Alisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso Baby mitihani kawaida usijali, mnh! Kidogo nnachokuletea usinune pokea Nipate moyo nifariji Na juhudi naziongezea usichoke niombea Molah atubariki zaidi Mungu kakupa sura kakupa shepu Nyuma chura mambo yetu Mwana wa sanura, mwenzako mimi I love you Umeniteka medula niko fyetu Akili haina ndala iko peku Umenivurura, mwenzako mimi I love you Ooh nivumilie Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mikufu na simu (Vyote) Ntakuzawadia (Vyote) Pochi zenye thamani (Vyote) Nawe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote) Na vioo ukiwafungia (Vyote) Ooh Baby Tazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama Liliwaka jua zikafanya subira mnh! nhh! Na nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana Nyumba haijengwi kwa vita hasira Kwenye macho yako nikiyatazama Naiona huruma yako mama Changamoto maana kuna muda unakata tamaa Nanoa kisu hatuli nyama Na kodi lundo zatuandama Riziki zama kwa zama Ya kwetu kesho ya kwao ni jana Kidogo nnachokuletea usinune pokea Nipate moyo nifariji mnh! Na juhudi naziongezea usichoke niombea Molah atubariki zaidi Yatapita kipenzi changu Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mawigi na simu (Vyote) Ntakuzawadia (Vyote) Pochi zenye thamani (Vyote) Na wewe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote) Na vioo ukiwafungia (Vyote) Mungu kakupa sura kakupa shepu Nyuma chura mambo yetu Mwana wa sanura Mwenzako mimi I love you

 

Content Tags

Diamond Platnumz – Yatapita

Diamond Platnumz – Yatapita Mp3 Download

Download Diamond Platnumz – Yatapita Mp3 

Diamond Platnumz – Yatapita Lyrics 

01   Patoranking – Kolo Kolo ft Diamond Platnumz   Download
02   Davido – No Competition ft Asake   Download
03    Skiibii – “Somebody” ft. Kizz Daniel   Download
04   Davido – Over Dem (David For Life)   Download
05   Adekunle Gold Ft. Lucky Daye – Sinner   Download
06   Ghana Music   Download
07
 
Davido – Champion Sound ft. Focalistic   Download
08
 
Davido – Unavailable ft Musa Keys   Download
09
 
Davido – U (JUJU) ft. Skepta   Download
10
 
Davido – Na Money Ft. the Cavemen. & Angélique Kidjo   Download

Back to top button