Foreign MusicTanzanian MusicZambian Music 2025

Mbosso – Amepotea Mp3 Download

Mbosso – Amepotea (Mp3 Download)

Tanzanian sensational recording afropop and Bongo Flava singer – Mbosso comes through with yet another brand new song tagged “Amepotea“. The brand new song Amepotea marks as hid first release this month of May. Thinking that it wasn’t enough after the release of “Khan (EP)” in 2022, the superstar dropped this euphoric and classic melody “Amepotea”.

., Download, Listen & Share..

Download Now

Lyrics Amepotea – Mbosso … Vipeperushi vinasambaaa eti natafutwa Nimepotea, wiki imekata Ndugu wamechachamaa, wananitafuta Nimepotea mwezi imekata Kazini sionekani, yupo wapi huyu Simuni sipatikani, yupo wapi huyu Baba kaniuoizia, yupo waapi huyu Mama haishi kulia, yupo wapi huyu Mimi, nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi Sio “*”:. mwana Rahabu mlomkuta Tanga Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waanga Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga Penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na wanga Aaah ladha yake, si sukari ni vichenza na malimao Mechi zake huwa hatari Ni chenga na mabao Kazini sionekani, yupo wapi huyu Simuni sipatikani, yupo wapi huyu Baba kaniuoizia, yupo waapi huyu Mama haishi kulia, yupo wapi huyu Mimi, nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi (msinitafute, msihangaike,…..) nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi Nipo salama mimi, nipo salama mimi, msinitafute niko salama mimi

 

Content Tags 

Mbosso – Amepotea (Mp3 Download)

Mbosso – Amepotea Mp3 Download

Download Mbosso – Amepotea Mp3 

AUDIO Mbosso – Amepotea MP3 DOWNLOAD

Back to top button