Foreign MusicTanzanian MusicZambian Music 2024

Jux ft Diamond Platnumz – Enjoy

Jux ft Diamond Platnumz – Enjoy Mp3 Download 

Super talented Tanzanian super star – Jux comes through with yet another interesting masterpiece record tagged “Enjoy“. The brand new song Enjoy features one of Tanzanian top notch sensational talented singer – Diamond Platnumz who did the most on the most. The song Enjoy marks as Jux’s first release this month of July and it also marks as their first collaboration this year of 2023. 

., Download, Listen & Share..

Download Now

Lyrics Enjoy ft. Diamond Platnumz – Jux … Mi leo acha tu niwaweke wazi Mbaki na mishangao Kuhusu aya mapenzi nataka kuyaeleza Na leoo tena waiteni paparazi Warushe kwa mitandao Siyataki mapenzi nataka jipongeza Unaemwita your baby kumbe nae ana baby Unaemuona kipenzi ni mshenzi hakupendi Amakweli mtihan mambo mengi dunian Nami stress siwezi ooh siwezi Bora nienjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Bora nienjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Kama kupenda bora nimpende mama yanguu Kama kupendwa mimi nitajipenda peke yanguu Ooh kilichomponza ufalaa Kujiona simba kumbe swalaa Kazama kwenye penzi uchwalaa Badala kusaka miamala Aiyoo! toka ndate pesa (eeh) Sasa napendeza (eeh) Natena naenjoy (eeh) Na wanangu kwa homeboy (eeh) Ooh Na account inasoma (eeh) Na kamwili kananona (eeh) We mwenyewe si unaona yanii Aiih nasema boraa (Bora nienjoy) Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Bora nienjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Jiunge na mimi Napenda nikilewa nipande juu ya meza Nichocho natema kingereza Tupande juu ya meza Tupande juu ya meza Tupande juu ya meza za za Kiiruuuuuuu Bora nienjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo

 

Content Tags 

Jux ft Diamond Platnumz – Enjoy Mp3 Download

Jux – Enjoy

Download Jux ft Diamond Platnumz – Enjoy Mp3 

Diamond Platnumz – Enjoy

 

Back to top button