Foreign MusicTanzanian MusicZambian Music 2025

Jay Melody – Mbali Nawe Mp3 Download

Jay Melody – Mbali Nawe Mp3 Download 

A Tanzanian musician who was raised in the impoverished neighborhood of Tandale Kwa Mtogole – Jay Melody comes through with yet a brand new masterpiece record tagged “Mbali Nawe“. The brand new masterpiece Mbali Nawe marks Jay Melody’s first release this month of August and the song is a follow-up of his previous hit single dubbed “Sawa“. 

., Download, Listen & Share..

Download Now

Naumia Sana Japo nishajua mimi Kuwa sawa na wewe Haitawezekana Hata nikishuka chini Ndo Unaniona Mi Mjinga Sana Eti umepatwa nini Mbona hapo mwanzo Ulitulia Aaaaaah Na wala sio mbali Sio mbali tulikuwa karibu na malengo Na leo kiutani kama utani Umeshindwa kuumaliza mwendo Na tena haujali haujali Ukiondoka utaacha pengo Hakuna cha habari Nikae mbali Huku kuachwa bila maelezo Mbali nawe mbali nawe Mbali nawe mbali nawe Mbali nawe mbali nawe Mbali nawe mbali nawe Au kuwa na mie hautamani Basi niambie kosa gani Basi niambie jinsi gani Utakuwa sawa baby Mmmmh nikueleze jinsi gani Vile nimekuweka moyoni Hata unipime kwa mizani Nitajaa kwako honey Mi naumwa siko sawa Lako penzi ndo yangu dawa Mi naumwa siko sawa Lako penzi ndo yangu dawa Na wala sio mbali Sio mbali tulikuwa karibu na malengo Na leo kiutani kama utani Umeshindwa kuumaliza mwendo Na tena haujali haujali Ukiondoka utaacha pengo Hakuna cha habari Nikae mbali Huku kuachwa bila maelezo Mbali nawe mbali nawe Mbali nawe mbali nawe Mbali nawe mbali nawe Mbali nawe mbali nawe

 

Back to top button