Foreign MusicTanzanian MusicZambian Music 2025

Alikiba – Mnyama Mp3 Download

Alikiba – Mnyama Mp3 Download 

One of Tanzanian super talented top-notch artists – Alikiba comes through with yet another interesting masterpiece record tagged “Mnyama (Simba SC Anthem)“. The brand new song interesting masterpiece record marks Alikiba’s first release this month of August. The song Mnyama is a follow-up of his previous hit single dubbed “Sumu,” which featured his fellow Tanzanian multi-skilled singer, and record producer, Marioo.

., Download, Listen & Share..

Download Now

Mnyama hana mpinzani Hatushikiki Kiki Hatukamatiki kiki Watoto wa Dar Watoto wa Msimbazi Ita77 mashabiki kikiki Umeanza mti tititi Na fimbo huu Kobe msimbazi Aaah we unamjua Simba mnyama Sio huyu wa picha mnyama mnyama Huyo ni wa Insta mnyama myama Huyo utopolo mnyama Nyama nyama Nyama nyama Kwa vikombe vingi mnyama mnyama Anaopiga mwingi mnyama mnyama Unyama ni mwingi unyama mnyama Nasema unamjua Simba mnyama Wa kimataifa myama mnyama Mnyama nguvu moja mnyama mnyama Anatupeperusha mnyama mnyama Nyama nyama Nyama nyama Kwa vikombe vingi mnyama mnyama Anaopiga mwingi mnyama mnyama Unyama ni mwingi unyama mnyama Hatushikiki Kiki Hatukamatiki kiki Watoto wa Dar Watoto wa Msimbazi Ita mashabiki kikiki Umeanza mti tititi Na fimbo huu Kobe msimbazi Sio leo toka zamani Mnyama hana mpinzani Sio leo toka zamani Mnyama hana mpinzani Ooh sisi Simba Sisi ndio mabingwa Sisi ndio mabingwa Africa nzima Sisi Simba Sisi ndio mabingwa Sisi ndio mabingwa Africa nzima

 

Back to top button