
Diamond Platnumz – Chitaki Mp3 Download
Top-rated Tanzanian bongo Flava recording artist, dancer, philanthropist, businessman of Ha heritage, and WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new banger titled Chitaki. In Chitaki, Diamond Platnumz lingers between South Africa’s Amapiano and Tanzania’s mainstream music genre, Bongo Fleva, and in the song, Diamond Platnumz throws short punches at all people who him evil in his new relationship and goes on to assure his girlfriend how much he loves him.
Since ilovezedmusic.com is well known as a home of music and entertainment updates, It will be a nice choice for you to bookmark this website and use the search button to look for any music of your choice ( in the case of old songs which you could not find, don’t worry just notify us via our email and don’t forget to let us know how you feel after each download.
Lyrics
We ndo kitumbua we ndo sambusa
Basi njoo unichumu baby, ndio tuseme umesusa?
We ndio mwisho wa reli, kwako nimeweka nukta
Walokuambia nala zuchu, sio kweli wanazusha
Wanaokaa vikao sisi kutujaji
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko Ten GB penzi full charge
Fanya wainama, wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainama, wainuka
Kiguu kinyanyue kisha weka nukta
Mi kuachana na wewe aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Mchana nikupe tango, usiku ndizi swadakta
Tuanze fanya mambo, kabla umeme hawajakata
Mapenzi mwenzie kiwango, na umejaaliwa talanta
Na unanijua kwa jambo, hatoki mtu kwa mkapa, ee aah!
Amuli chichichi amuli chachachacha
Kamoyo tititi nimeozaje sasa
Amuli chichichi amuli chachachacha
Kamoyo tititi nakuachaje sasa
Wanaokaa vikao sisi kutujaji
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko ten GB penzi full charge
Basi fanya, fanya wainama wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainama, wainuka
Kiguu kinyanyue kisha weka nukta
Mi kuachana na wewe aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Content Tags
Diamond Platnumz – Chitaki Mp3 Download
Download Diamond Platnumz – Chitaki Mp3
Diamond Platnumz – Chitaki Lyrics
Jae Cash ft. Yo Maps – People Like Me
Yo Maps - Try Again (Full Album)
Yo Maps ft Abel Chungu - Try Again
Cox ft. Macky 2 & Neo - Chisola
Macky 2 ft. Yo Maps – Mutima Wanga
Neo ft Chile One - Single Mother
Goddy Zambia ft. Y Celeb – Prayer
Chef 187 - Broke Nolunkumbwa (Album)
Vinchenzo ft Slapdee – Machimo
Chanda Na Kay – Zambia Izavina (Album)
Slap Dee ft. Cassper Nyovest - African Queen
01 | Yo Maps - Mr Romantic | Download | ||
---|---|---|---|---|
02 | Slap Dee ft. Cassper Nyovest - African Queen | Download | ||
03 | Chile One Ft. Chef 187 – Why Me | Download | ||
04 | Xaven Ft. Nez Long – Idedeshe | Download | ||
05 | Jemax - Right Now | Download | ||
06 | Alifatiq ft Rich Bizzy – Better | Download | ||
07 | Yo Maps - Location | Download | ||
08 | Chile 84 - Alira Wina | Download | ||
09 | Coziem ft Yo Maps – Bekuchinga | Download | ||
10 | Macky 2 - OLIJABA (Full Album) | Download | ||
11 | Slapdee - Bola Ibaba | Download | ||
12 | Rich Bizzy ft. Chester – Focus | Download | ||
13 | Yo Maps ft T Sean – Tiliko | Download | ||
14 | Download Hot Gospel Songs | Download | ||
15 | Daev ft Bobby East - Regular Girl | Download |